obrien daniels
Member
- May 4, 2022
- 44
- 54
Ni ngumu siyo uongo, ila siyo sana.Rudia kusoma tena.
Ila inaonekana ni fani ngumu sana kiasi ufaulu ni hafifu.
Wewe ulisomea fani gani kaka?Rudia kusoma tena.
Ila inaonekana ni fani ngumu sana kiasi ufaulu ni hafifu.
Nataka utaratibu huo wa kurudia, je, narudia bachelor au?Solution ni kurudia na ujitahidi kusoma.
Kwa nini? Mbona ni nje ya mada?Serikali ihalalishe bangi, pengine ikivutwa hadharani madhara yatapungua.
Samahani kiongozi, sijawahi kusikia fani ya uhandisi wa magari kwa level ya degree, naomba labda uitaje kwa kiingereza, naamini haitolewi kwa kiswahili.Habarini,mimi ni mwanafunzi niliyehitimu mwaka huu kozi ya ya uhandisi wa magari(degree) na nina GPA ya 2.8,, ndoto zangu siyo kufanya kazi Toyota au Scania au kampuni kubwa za magari, ila nataka na nina passion ya kuwa Tutorial Assistant wa chuo.
Sasa naombeni ushauri,ninawezaje kurekebisha(formally) ili niwe na kuanzia 3.8 ungergraduate badala ya hiyo ya 2.8 inayosoma muda huu?
Ushauri tafadhalini!
You are wasting time. Ukitaka hivyo labda urudie degree ya kwanza. Kwa ushauri wangu tafuta uzoefu then sajiliwa erb! Ukipata uzoefu fungua kiwanda au gereji ya mitambo na magari.Habarini,mimi ni mwanafunzi niliyehitimu mwaka huu kozi ya ya uhandisi wa magari(degree) na nina GPA ya 2.8,, ndoto zangu siyo kufanya kazi Toyota au Scania au kampuni kubwa za magari, ila nataka na nina passion ya kuwa Tutorial Assistant wa chuo.
Sasa naombeni ushauri,ninawezaje kurekebisha(formally) ili niwe na kuanzia 3.8 ungergraduate badala ya hiyo ya 2.8 inayosoma muda huu?
Ushauri tafadhalini!
Bachelor degree in automobile engineeringSamahani kiongozi, sijawahi kusikia fani ya uhandisi wa magari kwa level ya degree, naomba labda uitaje kwa kiingereza, naamini haitolewi kwa kiswahili.
Ahsante sanaKwann usijikite kwenye malengo ya kwanza. Anzia chini kabisa kadri uwezavyo. Hayo mavyeti kama huna uzoefu hayatakufikisha hapo.
Nimekuambia malengo ya kwanza sababu hilo lengo la pili silioni likikupeleka kwenye kufikia lengo la kwanza. Anyway, kama ni lazima sana inabidi kurudia degree.
Ahsante sana, degree ya kwanza nitairudia muda wowote ule na nitatimiza ndoto ya kuwa lecturerYou are wasting time. Ukitaka hivyo labda urudie degree ya kwanza. Kwa ushauri wangu tafuta uzoefu then sajiliwa erb! Ukipata uzoefu fungua kiwanda au gereji ya mitambo na magari.
Sawa, ni chuo gani wanatoa? Maana yake vyuo kama MUST, ATC na DIT wanaijumlisha na mitambo kisha inakuwa Mechanical Engineering..Bachelor degree in automobile engineering
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji174]Serikali ihalalishe bangi, pengine ikivutwa hadharani madhara yatapungua.
Habarini,mimi ni mwanafunzi niliyehitimu mwaka huu kozi ya ya uhandisi wa magari(degree) na nina GPA ya 2.8,, ndoto zangu siyo kufanya kazi Toyota au Scania au kampuni kubwa za magari, ila nataka na nina passion ya kuwa Tutorial Assistant wa chuo.
Sasa naombeni ushauri,ninawezaje kurekebisha(formally) ili niwe na kuanzia 3.8 ungergraduate badala ya hiyo ya 2.8 inayosoma muda huu?
Ushauri tafadhalini!