Nina GPA ya 2.8 undergraduate degree ya uhandisi wa magari,,ninawezaje kuwa Assistant Tutorial? Napataje 3.8 undergraduate tena ili nikidhi vigezo?

Ushauri kafanya veta ukawe tutor maana kule hawaangalii GPA
 
Kama unataka kua lecture ultakiwa upate atleast gpa 3.5 ila inategemea na chuo. Vyuo vingine mpaka gpa 4.0 ndo wanakuconsider kukchukua.

Ushauri: kama uko serious wataka kua lecturer rudia tu io degree upate ufaulu wa juu kuhakikisha unapata qualifications.

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Duuh! Yaani aanze kusoma upya Degree ya miaka minne tena?? Labda aachanhe na hilo wazo la kuwa Mkufunzi. Atafute ti fyeza afungue kampuni ili yeye ndo awe mwajiri.
 
Sasa ukipata huo u-tutorial assistant watoto wetu watapata ngapi?


We njoo tu tulime mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…