Nina Guest House iliyopo maeneo ya Manzese, natafuta mtu wa kuingia naye ubia kuiendeleza

Mjasiliamali40

New Member
Joined
Sep 12, 2026
Posts
1
Reaction score
2
Nina Guest House iliyopo maeneo ya Manzese, kwenye barabara ya kuelekea Tandale. Guest House ipo moja kwa moja barabarani, na ninatafuta mtu wa kuingia naye ubia ili tuweze kuiboresha na kuipanua, ikiwa ni pamoja na uwezekano wa kujenga hoteli.

Manzese ni eneo lenye wakazi wengi, wafanyabiashara na wanafunzi. Pia ni eneo la starehe na liko karibu na mjini, hivyo lina fursa nzuri kwa wafanyabiashara na wawekezaji.

Ukipendezwa na fursa hii, piga simu 0655569618 kwa mazungumzo zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…