Nguvuyabwana
Senior Member
- Jun 6, 2019
- 195
- 483
Ndo kama ivo mkuu, kama unao wadau niconnect! 🙏Mwezi mtukufu huu utauza sana
Tafuta connection ya masoko ya dar kama mabibo,kisutu n.k
Vinaweza kuchukua ata wiki moja au mbili kama umevianika na vikakauka vizuri(kutokua na unyevu unyevu)Naomba kuuliza hivi inachukua siku ngapi kuharibika hivyo viazi tangu shambani?
Nataka kujua bei ya sokoni kwanza mkuu wangu, kama unafaham naomba nifahamisheVilete mabibo wewe unauzaje?
Asante sana mkuuVinaweza kuchukua ata wiki moja au mbili kama umevianika na vikakauka vizuri(kutokua na unyevu unyevu)
Tutafute soko ulaya mkuu!Habari wakuu! Ninazo gunia 300 za viazi vitamu vya lunzewe geita. Naomba kama kuna mtu anafahamu bei zikoje kwa sasa ivi na maeneo ya kuuzia
Ulaya Kuna soko la viazi vitamuTutafute soko ulaya mkuu!
Nipo katoro
Sijajua kama umeongezea maelezo au umeuliza swali.Ulaya Kuna soko la viazi vitamu
Gunia unauzaje??Habari wakuu!
Ninazo gunia 300 za viazi vitamu vya lunzewe Geita. Naomba kama kuna mtu anafahamu bei zikoje kwa sasa ivi na maeneo ya kuuzia