Nina haki kama binadamu ya kupenda tena

Kwenye 40's mwanaume bado kijana mbichi kabisa, especially akiwa stable financially kama unavyotaka. Kwenye phase uliyopo haupo kwenye nafasi ya kuwa na strictly terms and conditions. Punguza masharti na sogeza target yako ianzie 50+.
 
Aliachana na mzazi mwenzie mtoto mkubwa akiwa na miaka 6.sasa hivi yupo 44 na watoto wapo chuo. Kimakadirio aliachana na mzazi mwenzake akiwa na miaka 28-32, hii maana yake miaka sio chini ya 15 alikua anafanya exploration hapo kwenye dating pool. Mtego huo.
 
Nilitaka kukukebehi, lakini nilivyosoma kwa undani nimejikuta Kaine huruma kwa kweli! Ila hujajieleza vizuri, kwa mfano una watoto wangapi na umesema uliachana na mpenzi wako mtoto wa kwanza akiwa na miaka 6 sasa hao wengine ulio nao ni wa wanaume wengine? Kama unao zaidi ya huyo mkubwa!
 
Hahaha hapa umepata upenyo wa twanga nyundo zako bwashee
 
Hujaweka utaratibu wa kutuma maombi bibie.
Tuje pm?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…