Nina haki kama binadamu ya kupenda tena

Sf
Mambo ya mwandiko yanahusiana nini?
Nimekwambia nna dyudyu kama unaweza njoo ukalie, unazunguka zunguka nini??
Afu wee dada jieshim sawa, kama wee ndo umezoeshwa kuliwa nyuma usizani watu wote Wana tabia kama zako za kuingiziwa mkun....ni, wee endelea kukalia m..b..oo za mku...nduni kimpango wako sawa eeee, usije kutuletea humu mambo ya ufirauni

Kama wawashwa Kun....du nenda uka f..i..rwe wanapo ku..f...raga.
 
Hahahaaa Dah
 

Sio watoto tena wamekuwa wakubwa.
Wangapi?
 
Unataka kujiweka unapiga idadi ya watoto km utawamudu kiongozi? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Nilijua tu lazima nitakamatwa uchawi kwa lile swali. Nikajitetea na kumtakia afanikiwe hitaji lake.
Nimewasaidia kuuliza.
Mimi nafuata msemo wa wazaramo "gari bovu linavutwa na gari jipya".
Siku ikifika natafuta chuma kipya, kibichii tule maisha.
 
Saa ngapi unakuja?
Maneno mengi ya nini mrembo?
Acha kucharazia basi bibie lete mzigo huo..!
 
Kwenye 40's mwanaume bado kijana mbichi kabisa, especially akiwa stable financially kama unavyotaka. Kwenye phase uliyopo haupo kwenye nafasi ya kuwa na strictly terms and conditions. Punguza masharti na sogeza target yako ianzie 50+.
Tatizo wanawake hilo huwa hawalijui. Mwanamke akiwa chini ya 30+ lazima awe na mwanaume anayemzidi miaka 10+ maana hekaheka za mwanamke kuanzia 15 hadi 30 zinamfanya awe amemaliza yote. Tatizo mwanaume ni wachache chini ya 30 wawe katika heka heka maana ni wakati wa kujitafuta hadi 40, hapo ndipo mwanaume anaanza heka heka hadi 50. Mwanaume akiwa 50 hutulia. Kabla ya hapo lazima azue chupi nyingi CC mamawatano
 
Hhii kibabe sana
 
Umemaliza kila kitu, huna haja ya kumpa mistari mkionana. Wewe ni kuvisha pete tu
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ