Idrisa1510
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 254
- 351
Sawa mkuu nitafanya hivoNenda hospital huenda ni oral candidiasis. Usi sahau pia kupima maumbuki ya HIV kwa faida yako.
Fanya kazi kwa bidii
Mdomo hauna harufu, na sijawahi kutia kinywa chumvini.Kama ulishawaza chumvini itakuwa umepata oral candidiasis..Je mdomo una harufu mbaya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa mkuuYeast effection inaweza pia kuwa candida,kama unavuta fag stop kwa mda na pia hata pombe hawa wadudu wanazaana mno,
tafuna vitunguu saumu,sukutua pia kwa maji chumvi mara kwa mara ,yeast haipatani na chumvi na ni rafiki wa vitu vya sukari,
ila kama vipi uende upime
Yawezekana ikawa ni matokeo ya constipation (tatizo la kutopata choo), kwa ushauri zaidi ungeenda hospitalNina Hali fulani kama ukungu mweupe kwenye ulimi ambao umefanya nihisi kama ulimi umeungua na chai yamoto vile.
Nimejaribu kwenda kwenye Duka la dawa nikapewa vidonge vya vitamin C.
Nimetumia Kwa siku tatu bila mafanikio zaidi nakua kama natokwa na vijidonda vya mbalimbali kwenye nyama ya ndani ya lips kitu kinachonipelekea kupata maumivu Fulani ya ulimi na kinywa especially wakat wa asubuhi.
Mwenye welewa na tatizo hili au ambaye amekwishawahi patwa na aina hii ya ugonjwa anijuze ni Aina gani ya dawa naweza kutumia for better results.
Sent using Jamii Forums mobile app
ShukranYawezekana ikawa ni matokeo ya constipation (tatizo la kutopata choo), kwa ushauri zaidi ungeenda hospital
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina Hali fulani kama ukungu mweupe kwenye ulimi ambao umefanya nihisi kama ulimi umeungua na chai yamoto vile.
Nimejaribu kwenda kwenye Duka la dawa nikapewa vidonge vya vitamin C.
Nimetumia Kwa siku tatu bila mafanikio zaidi nakua kama natokwa na vijidonda vya mbalimbali kwenye nyama ya ndani ya lips kitu kinachonipelekea kupata maumivu Fulani ya ulimi na kinywa especially wakat wa asubuhi.
Mwenye welewa na tatizo hili au ambaye amekwishawahi patwa na aina hii ya ugonjwa anijuze ni Aina gani ya dawa naweza kutumia for better results.
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 1014057View attachment 1014058
1 2
View attachment 1014059
3
tatizo lako linafanana na pich namba ngapi?
Wewe utakuwa unaishi Dar.
🤣🤣🤣😂kweli wee ni mkaruka!Wewe utakuwa unaishi Dar.
Dar kuna tatizo kubwa sana la lishe.
Nenda Pharmacy kanunue vidonge vya "Vitamin B Complex" utumie.
Usipopona kapime "Ngwengwe".