Idrisa1510
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 254
- 351
Nina Hali fulani kama ukungu mweupe kwenye ulimi ambao umefanya nihisi kama ulimi umeungua na chai yamoto vile.
Nimejaribu kwenda kwenye Duka la dawa nikapewa vidonge vya vitamin C.
Nimetumia Kwa siku tatu bila mafanikio zaidi nakua kama natokwa na vijidonda vya mbalimbali kwenye nyama ya ndani ya lips kitu kinachonipelekea kupata maumivu Fulani ya ulimi na kinywa especially wakat wa asubuhi.
Mwenye welewa na tatizo hili au ambaye amekwishawahi patwa na aina hii ya ugonjwa anijuze ni Aina gani ya dawa naweza kutumia for better results.
Sent using Jamii Forums mobile app