Nina hamu na hiki kitu sana.

Nina hamu na hiki kitu sana.

wale wenzangu wapenda hiyo hapo chini naomba tutafutane ijumaaa hii.

kwa wale wasiotumia samahanini wote.

DSC00212.JPG
Njoo Mbezi kwa musuguli mkuu
 
Watu wa dar nawaambien ukweli nmekula huyu mdudu sehem mbali mbali lakin sehem niliyofunga break ni Mandao pale njia panda ya segerea baada y kuvuka reli,,hata niwe wap lazima nikiitaka hii kitu niifate Mandao Pub ni balaa aseee wandugu
 
Back
Top Bottom