Nina hamu sana ya kubeba mimba

Aunty kemmy

Member
Joined
Dec 13, 2013
Posts
46
Reaction score
23
Mim ni msichana na miaka 25. Tatizo langu ni kwamba cpati ujauzito. Nshaenda hosp kwa dk msuya arusha nnikafanyiwa vipimo na dawa nikapewa nikameza lakini sipati mimba. Tatizo nilonalo alosema doctor ni kwamba mayai hayana nguvu. Baadhi ya dawa nilizopewa ni pamoja na clomitab. Nisaidien kwa ushaur what should I do?
 
Pole sana kwa tatizo lako Mungu ni mwema atakusimamia[emoji86]
 
Hivi kuna ushauri zaidi kuliko wa Dr. ambaye na vipimo kafanya?

Je unayetaka akumimbishe kapima kuthibitisha yuko sawa!?
 
Jaribu kumuomba Mungu sana mdada atakusaidia tu cuz Dada yangu nae alikuwa na tatizo kama lako lakini baada ya kumgeukia na kumuomba Mungu alisikia kilio chake.

Hivyo basi, usichoke kumuomba Mungu wako maana mtoto ni neema kutoka kwa Mungu!
 
Je huyo mnaetafuta nae mtoto yupo sawa???
Pia kuwa makini watu wasikuombe namba ya simu humu
 
Mimba tu ndo unataka? Malezi ya mtoto kama ni juu yako basi njoo Pm utaipata ndani ya wiki mbili pekee
 
Kitu kimoja muhimu sana nawaambiaga wanaqake wengi ni kuacha kufikiria juu ya mimba na kuiwazia sana.

Yaanibacha maisha yaendelee na tenda tendo bila kuwazia wewe wazia furaha tu na enjoy life huku ukimuaminia Muumba wetu bila kujiweka chini na mawazo yanasumbua mwili sana bila mtu kujua.

Usivunjike moyo pia weka kichwani itakuwa.

Kwa mie ni hayo tu...
 
Ungekuwa shinyanga wiki hii ningekupa dawa ya kienyeji na unabeba mimba na kupata mtoto.
 

Sasa utapataje Mimba Dada kama unakutana tu na " viberiti? ". Jaribu kutafuta Wanaume wenye " mikuyenge " ya maana mimba ya mwendokasi utaipata haraka mno.
 
Pole sana dada,
Mungu yu mwema .Usikate tamaa. Anajua haja ya mioyo yetu. Tenga muda funga na kuomba Kwa imani utafanikiwa ombi lako.
 
dah kuna demu alikuwa akisaka mtoto kwa miaka 6 mwaka huu nimeanza nae mahusiano nikampa mimba.so i believe ninaweza kukupa hata wewe mrad malez yawe juu yako.ni PM
 
Pole sana kwa tatizo lako ,kama uko Arusha ni pm nikupe mtu aneweza kukusaidia.
 
Una mume? Okey kama kweli unataka kuzaa fanya hili hapa, na utashika mimba soon japo ukiichukulia poa haya ila nna uhakika utashika tuu, chukua asali mbichi weka ktk kikombe cha kahawa ama cha chai nini wewe sasa kisha chukua mdalasini wa unga vijiko vi tatu changanya na asali vijiko viwili hapo utakoroga hadi iwe nzito kabisa itakuwa kama ugali au bazoka iliyotafunya, chukua huo mchanganyiko uwe unaupaka katika fizi zako hasa za ndani saa ya kulala, lala na mchanganiko huo mpaka asubuhi, hiyo dawa itakuwa ikipenya taratibu ktk mishipa, fanya hivi kwa mda wa siku tatu, kisha tafuta hiyo mimba.....utuletee mrejesho ukifanikiwa...

Nimewasaidia watu kama wa nne na mimi mwenyewe ni wa tano, mke wangu alikuwa akisumbuliwa sana na tatizo la kupata mimba, kwisha habari hiyo sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…