Una mume? Okey kama kweli unataka kuzaa fanya hili hapa, na utashika mimba soon japo ukiichukulia poa haya ila nna uhakika utashika tuu, chukua asali mbichi weka ktk kikombe cha kahawa ama cha chai nini wewe sasa kisha chukua mdalasini wa unga vijiko vi tatu changanya na asali vijiko viwili hapo utakoroga hadi iwe nzito kabisa itakuwa kama ugali au bazoka iliyotafunya, chukua huo mchanganyiko uwe unaupaka katika fizi zako hasa za ndani saa ya kulala, lala na mchanganiko huo mpaka asubuhi, hiyo dawa itakuwa ikipenya taratibu ktk mishipa, fanya hivi kwa mda wa siku tatu, kisha tafuta hiyo mimba.....utuletee mrejesho ukifanikiwa...
Nimewasaidia watu kama wa nne na mimi mwenyewe ni wa tano, mke wangu alikuwa akisumbuliwa sana na tatizo la kupata mimba, kwisha habari hiyo sasa.