Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Yana faida gani Mkuu?!Nina hamu ya kuonja maziwa ya Ngamia; najua TZ hatuna ngamia wengi kama Kenya au Somalia na Ethiopia ila wapi hapa Dar naweza nunua maziwa ya Ngamia??? Msaada wana Jamii
Tuambie yanasaidia nini na sisi tuanze kuyatafuta
Ngoja nikazisome na mimi mkuu,. Asante
Yanaongeza sana nguvuTuambie yanasaidia nini na sisi tuanze kuyatafuta
Oukay 🤔,. Za kiume au?Yanaongeza sana nguvu
Naona mnataka kuleta zile mambo za mayai ya Kware...Oukay 🤔,. Za kiume au?
Nimewaza tu kama yanaongeza nguvu za kiume basi bei yake itakua ghali sanaNaona mnataka kuleta zile mambo za mayai ya Kware...
Yapo hayo kuna watu wanakunywaAisee usikute kuna maziwa ya nguruwe na mimi sijui....
Kazi kweli kweli/jobtruetrue
Kwani yanauzwa zoo au??Nenda Dar es salaam Zoo