Nina hamu ya kuonja maziwa ya Ngamia

Nina hamu ya kuonja maziwa ya Ngamia

Wabongo kwa kuchakua hatujambo kama Ng'ombe tu kwa idadi sisi ni wa pili barani Afrika lakini ukiuziwa maziwa yake kwenye lita 1 unakuta robo tatu ni maji sembuse ngamia ambao hapa TZ ni wa kutafuta kwa tochi???

Anyway, sio mjuzi kivile ila ukipata pure basi ni maajabu

Wabongo tunachakachua sana, ng'ombe anaweza kamuliwa lita 10 kama sikosei hapo itaongezwa lita 5 au hata 6 za maji

Sipati picha huyo ngamia sasa ambae kwa idadi tu ni adimu
 
Fa
Farasi wanauzaje?? 😕😕
😂😂 Aisee hapo nafikiri uwatafute wenyewe watakwambia japo farasi sina uhakika kama wanauza sana sana nilikuwa naona ng'ombe,mbuzi,samaki,kuku,bata,maziwa,mayai n.k...kuhusu bei sijui..kama ukihitaji unaweza kiwatafuta maana nilifanya field muda kidogo umepita kwahiyo huenda pia labda kuna mambo yameshabadilika🤗
 
Enhee kwahiyo lita shingapi
 
Nenda kariakoo msikiti wa MANYEMA, kuna ki cafe cha wasomali hapo wanauza bites na chai (chai ya maziwa ya ng'ombe & chai ya maziwa ya ngamia), pia wanauza na maziwa plain ya ngamia lakn yanazimuliwa na maji kidogo si unajua sisi wabongo?
 
Niliyanywaga sana nikiwa Arusha.. kwa Dar sijajua ni wapi.
 
Back
Top Bottom