Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Sasa c umuite umtukane unakumbuka mm niliwatukana mods wakanipa certificate ya matusi siku 3Ww Mondray ni m.... tatizo nina mzuka na Faizafoxy pekee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa c umuite umtukane unakumbuka mm niliwatukana mods wakanipa certificate ya matusi siku 3Ww Mondray ni m.... tatizo nina mzuka na Faizafoxy pekee.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ban ni tamu kama ukiindaa kwa utaratibu huu:
Chakua BAN yako, kata vipande vidogo vidogo, chemsha mafuta yachemke vizuri, kata vitunguu maji, pilipili hoho na mbuzi, andaa maziwa fresh kikombe kimoja. tumbukiza vipande vyako vya BAN katika mafuta yanayochemka ukichanganya na viungo vyote! pika kwa dakika 7, epua BAN yako, iache ipoe, inafaa kula kwa wali na hata makande
Kwani ban zinapimwa kwa uzito?Nilikula ban juzi juzi hapa. Actually ilinisaidia sana kwa sababu nilikuwa nimeanza kushinda hapa JF. Usipokuwa makini JF hii yaweza Kuwa uraibu kama kokeini. Ban ni sober house nzuri sana. Nikiona nimezidisha nitalikorofisha tena nilimwe ban hata ya mwezi mzima kabisa...[emoji23][emoji23][emoji23]
Waulize mods...[emoji23][emoji23][emoji23]Kwani ban zinapimwa kwa uzito?