Nina hamu ya kupata ban

Uko serious? Kama umechoka si logout!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilikula ban juzi juzi hapa. Actually ilinisaidia sana kwa sababu nilikuwa nimeanza kushinda hapa JF. Usipokuwa makini JF hii yaweza Kuwa uraibu kama kokeini. Ban ni sober house nzuri sana. Nikiona nimezidisha nitalikorofisha tena nilimwe ban hata ya mwezi mzima kabisa...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani ban zinapimwa kwa uzito?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…