Nina hamu ya nyamachoma

Nina hamu ya nyamachoma

TIMING

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Posts
28,186
Reaction score
15,549
wAKUU

leo nina hamu sana ya kupata nyama ya kuku ya kuchoma au samaki wa foil nikiwa na wana JF

kama Kawa Geoff yuko fasta sana; lakini naomba leo tuwe wengi kidogo tushushie na fanta za baridi au serengeti ya uvuguvugu; na pesa inaruhusu, basi tuchape na red label

mko available au tuahirishe?

DN
 
Naruhusiwa kuwa kwenye jumuiko hilo Denovo?????
 
Changanua DN
makutano junction.
 
mnisamehe mtandao ulikata

on my way to kontena
 
wAKUU

leo nina hamu sana ya kupata nyama ya kuku ya kuchoma au samaki wa foil nikiwa na wana JF

kama Kawa Geoff yuko fasta sana; lakini naomba leo tuwe wengi kidogo tushushie na fanta za baridi au serengeti ya uvuguvugu; na pesa inaruhusu, basi tuchape na red label

mko available au tuahirishe?

DN

Mkuuu! Wapi directions....hizi safari za baridi sass naona zinanifanya niwe too lonely.....
Nimechelewa kuona hii kitu. DN rudi hewani fasta ueleze.
 
Naruhusiwa kuwa kwenye jumuiko hilo Denovo?????

tena wewe ndio usiseme... jana ilikua trela na leo lazma ntakua pale RG kupata changu wa kuchoma

MSIKOSE
 
Mkuuu! Wapi directions....hizi safari za baridi sass naona zinanifanya niwe too lonely.....
Nimechelewa kuona hii kitu. DN rudi hewani fasta ueleze.

SORRY MKUU....

jana nilikwama mtandao ulikua nehi che!
 
Back
Top Bottom