Let say umeenda china kununua shati na kuja kuliuzaNaomba kujuzwa kuhusu kodi na makato yoyote pale ambapo ntaagiza bidhaa za urembo (accessories,nguo nguo,etc) kutoka nje mf. Kg X ni tshY, au mzigo wa tsh X vat rate ni Y, vitu kama hizo yani.
Pia kama kune sheria za kufata mziweke hapa, challenges zake pia tushee hapa tujuzane.
Na pia mnashauri kama nikianza hiyo biashara nianze na capital ya sh ngapi ambayo kidogo italeta return ya afadhali na risk ndogo.
Please wale ambao mna experience na wale ambao mnajua tujuzane hapa,na wale ambao hamjui tukae tusome comments kwa makini.
hiyo VAT rate inategemea na cost ya bidhaa au?Let say umeenda china kununua shati na kuja kuliuza
1. Gharama za manunuzi kwa shati hiyo ni 100/- hadi mzigo unaingia dukani
2. Then unaweka faida yako, let say Tshs. 30/-. kwa hiyo utauza Tshs 130/-
3. Serikali itakwambia usiuze bai hiyo ya Tshs 130/-, bali uongeze 18% (Tshs 24.3/-) ambayo ni VAT. Kwa hiyo mpaka hapo bei utakayotakiwa kuuza ni Tshs. 154.3/-
4. Hiyo 30/- unayopata kama faida, utatakiwa ulipe serikalini 30% yake kama corporate tax. Ambayo ni Tshs 5.4/-.
5. Hivyo katika bei ya 154.3/- utalipa serikalini Tshs 24.3 +5.4 = 29.7/-
6. Kwa hiyo kwa bidhaa uliyonunua kwa Tshs 100/-, ukaiuza kwa Tshs 154.3/- utabakiwa na 154.3-29.7 = 124.6/- NA HIVYO KUFANYA EFFECTIVELY UWE UMEPATA FAIDA YA TSHS 24.6/-
NB: Wakwepa kodi huwa wanabaki na hela yote yaani 154.3/- Tshs, badala ya 124.6/- Tshs (Wanatia ndani Corporate tax, na VAT waliyoikusanya.
VIle kama na wewe umenunua bidhaa ukapewa EFD risiti, baana yake itakusaidia kupunguza hiyo 18% ya VAT ambayo nawe umeilipa wakati wa manunuzi (VAT returns)
UELEWA WANGU UNAISHIA HAPO
Kitu kinapochajiwa kwa asilimia maana yake ni kwamba bei inavyozidi kuwa kubwa, ndiyo hela inavyozidi..hiyo VAT rate inategemea na cost ya bidhaa au?
Asante mkuu kwa kunielimisha hiliNo.4 - Itakua kodi ya 30% iwapo biashara hiyo ipo ndani ya kampuni.
Asante mkuu kwa kunielimisha hili
Yani kweli kabisa mmmh.Kitu ambacho kinacho nishangaza nchi hii mtu ndio kwanza unaaza biashara unalipishwa tax
Wenzetu nchi za ulaya, hulipi tax kwa mwaka wa mwanzo, inategemea na biashara yako itakavyo run,kama faida ndogo tax unarudishiwa ikiwa utalipa, wameweka earning ya mwaka ya biashara yako,na mtaji wako. Alimuradi mtu aweze kuwa na ajira uweze kujikimu maisha yako, serikali haipo kukukandamiza, ipo ku kusaidia.
Sasa hapa kwetu huu mfumo sijui tumetoa wapi, ndio maana tunazidi kuwa masikini siku hadi siku.
Hata kwenye kazi ndio hivyo hivyo, ukilipa tax ,kama income yako lower unarudishiwa mwisho wa mwaka tax yako.