am a girl
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 748
- 505
Naomba kujuzwa kuhusu kodi na makato yoyote pale ambapo ntaagiza bidhaa za urembo (accessories,nguo nguo,etc) kutoka nje mf. Kg X ni tshY, au mzigo wa tsh X vat rate ni Y, vitu kama hizo yani.
Pia kama kune sheria za kufata mziweke hapa, challenges zake pia tushee hapa tujuzane.
Na pia mnashauri kama nikianza hiyo biashara nianze na capital ya sh ngapi ambayo kidogo italeta return ya afadhali na risk ndogo.
Please wale ambao mna experience na wale ambao mnajua tujuzane hapa, ili tusiojua tufaidike.