Nina harisha damu yenye matone kama kamasi

You are too young to die on that age

God has plan with you, please make him your number one in each and everything you do

Uruhusu Ulimi wako ukunenee mema Siku zoteπŸ™
Asante sana babu
 
Si dalili nzuri ila pia usimrahisishie shetani kazi. Weka bando Leo jioni
Kuna Semina ya Mtumishi wa Mungu Elibariki Sumbe Ingia You tube Andika Elibariki Sumbe au Vuka Yordan
4:00pm Wewe mfuatilie. Utatuletea ushuhuda hapa. Sina mashaka na hilo kabisa. Asante
 
Hivyo ni
1. Vidonda vya tumbo
2. Amoeba

Tx
-T. Metro 400mg tds *7/7
-C. Amoxillin 500mg tds *7/7
-Pantoprazole 1*1*7/7
-T. Pcm 1g tds * 3/7
-Alugel 10ml tds * 7/7
 
Asante mkuu
 
pole ndungu,
usihofu,
maradhi ni kawaaida kwa binadamu hilo fahamu. Check na daktari mapema leo, Amini Mungu, na kwa neema na baraka zake, utapokea uponyaji wa hakika wa tatizo lako bila tashwishwi yoyote πŸ’
 
pole ndungu,
usihofu maradhi ni kawaaida kwa binadamu hilo fahamu. Check na daktari mapema leo, Amini Mungu, na kwa neema na baraka zake, utapokea uponyaji wa hakika wa tatizo lako bila tashwishwi yoyote πŸ’
Asante sana kaka
 
Kka naomba nisaidie namba yako ninashida kama yako nateseka sana
 
Tangulia mkuu.
Chumvi umeila si haba.
Usisahau tu kuacha mirathi.
Buriani kamanda!.
maneno haya sio mazuri kwa mtu anayehitaji faraja na ushauri unaweza kumsaidia, Jifunze kuheshimu utu, ili na wengine wakuheshimu. Hivi ninyi vitoto vya 2000 mkoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…