Anza kutumia akili mzee miaka 30 umekomaa ujue? Isitoshe unaingia kwenye ndoa sasa kwa woga huo hapo utaweza ndoa kweli?
Piga kazi hakuna cha Vina Vikali Usipime wala Gonorrhea!
Utajiua kwa hofu, mtu usha pima zaidi ya mara moja na majibu ni negative unaacha kujilia ugali wako unabaki kuusikilizia mwili kama simu, itumie akili yako vizuri kuanzia sasa na kuendelea.