Nina hofu huenda nimeambukizwa UKIMWI, Naombeni ushauri wenu jamani!

Nina hofu huenda nimeambukizwa UKIMWI, Naombeni ushauri wenu jamani!

Nenda hospital kawaone madaktari. Hiyo uliyonayo no hofu tu kijana.
 
Onguluo

Anza kutumia akili mzee miaka 30 umekomaa ujue? Isitoshe unaingia kwenye ndoa sasa kwa woga huo hapo utaweza ndoa kweli?

Piga kazi hakuna cha Vina Vikali Usipime wala Gonorrhea!
 
Last edited by a moderator:
Tafita psychiatrist, maana msongo wa mawazo ndio unakumaliza.
 
Second Fiddle

Kaka sikutegemea kabisa na wala sikuwahi kuwaza mapenzi na huyo mama hata siku moja sijui ni shetani gani aliyenituma kwake yaani najuta sana nafsi yangu.

Nashukuru kwa kunikanya. nimekuelewa ndugu yangu, shida ni kwa yule mchumba wangu, tunategemea tufunge ndoa wiki mbili zijazo, nifanyeje kuextend time?
 
Last edited by a moderator:
Anza kutumia akili mzee miaka 30 umekomaa ujue? Isitoshe unaingia kwenye ndoa sasa kwa woga huo hapo utaweza ndoa kweli?

Piga kazi hakuna cha Vina Vikali Usipime wala Gonorrhea!


Daah kwakwel niliogopa sana ndugu zangu, kidogo nife siku moja usiku kwa stroke. Mungu n mkubwa.
 
Pole sana! Ondoa hofu then relax maadam ushapima ni (-ve) unahofia kitu gani?
 
Utajiua kwa hofu, mtu usha pima zaidi ya mara moja na majibu ni negative unaacha kujilia ugali wako unabaki kuusikilizia mwili kama simu, itumie akili yako vizuri kuanzia sasa na kuendelea.

Mkuu tumuombe unga aliobakisha maana anaweza akajuua huyu sie tuendelee kula ugali na kitimoto.
 
pole sana hiyo ni hofu tu uliyonayo haujapata maambukizi ya VVU, pia huo uvimbe shingoni nenda hospitali tafuta specialist wa ENT (Ear, North and Throat) wanaweza kukusaidia juu ya tatizo lako
 
Onguluo

Kuna magonjwa mengine ambayo yanapatikana kwa njia ya kujamiana mfano hepatatis ni ugonjwa mbaya pia. Muda muafaka wa kuangalia tena kama mtu kaambukizwa virusi vya UKIMWI ni kupima tena baada ya miezi mitatu. La pili hofu ni ugonjwa mbaya kuliko ugonjwa wenyewe. Tubu na umuombe MUNGU akusamehe na ujipe moyo na kusahau vinginevyo kujihukumu kutakumaliza!
 
Last edited by a moderator:
Onguluo

Irus yako ikopoa!!jitoe ufahamu gonga alovera
 
Last edited by a moderator:
Dogo acha uoga..! Inaonekana pia ilikua mara ya kwanza kula mzigo.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
yani hujawahi kukutana na mpenzi wako kimwili, halafu unamvulia chupi janamke, nimekudharau sana, na ningekua na namba ya huyo mpnz ningemwambia akupige kibuti tu, huoni hata aibu lo!
 
Acha uoga kijana huna ukimwi, uoga ndo unakufanya uwe hivo
 
Kuhusu kuwa na VVU naona huna maana tokea 15/11 hadi 19/2 ni miezi mitatu ambapo kama ni kirusi tayari kingeonekana. Unahitaji kufanya total body check up. Kwa maelezo yako kabla ya kukutana na mama ulikuwa na tatizo la vidonda vya tumbo lililokupelekea kwenda kununua asali kwake. Haujaeleza kama hiyo tiba ilikuwa ni maelekezo kutoka kwa daktari au ni ya kienyeji. Kama ilikuwa ni tiba ya kienyeji basi kuna uwezekano wa moja kwa moja kuhusu mchanganyo wa tiba hiyo na maradhi yanayokusibu.
 
Mwanadamu hapaswi kukiogopa kifo au kuwa na hofu na kifo bali anatakiwa ajiandae na kifo kwani sisi sote hapa duniani ni wapita njia na kila mmoja ataaga dunia na kila mtu kwa style yake.....tusihadaike na ulimwengu mpaka tukaisahau safari ya makazi ya milele............
 
Back
Top Bottom