Chizi Fureshi
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 1,718
- 461
Tena ni hofu kubwa. Maana ukiondoa CCM vyama vilivyosalia havina nguvu kubwa na ya kutosha katika maeneo mawili ya Muungano. Japo, ukweli uko wazi tunaposema tunashughulikia kero za Muungano ni lini VIONGOZI wa bara wamesimamia maslahi ya Bara? Take it from me, mamlaka 3; first looser ni Pemba then CCM na baada ya hapo tunadaiana. R I P- JKN.