Nina Hofu na Muungano wa Serikali tatu

Nina Hofu na Muungano wa Serikali tatu

Chizi Fureshi

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Posts
1,718
Reaction score
461
Tena ni hofu kubwa. Maana ukiondoa CCM vyama vilivyosalia havina nguvu kubwa na ya kutosha katika maeneo mawili ya Muungano. Japo, ukweli uko wazi tunaposema tunashughulikia kero za Muungano ni lini VIONGOZI wa bara wamesimamia maslahi ya Bara? Take it from me, mamlaka 3; first looser ni Pemba then CCM na baada ya hapo tunadaiana. R I P- JKN.
 
Muungano uko taabani. Serikali tatu ni mashine ya kupumulia tu. Kuna siku italazimu kuzima mashine.
 
Magurudumu hofu yangu iko hapo. Na kama lengo la Serikali mbili lilikuwa umoja ni vema tungelenga kuwa na kitu kimoja. Nasema wakati Pemba inasubiri kupumua CCM inapasuka. Hii kitu haina afya kwa TANZANIA.
 
Last edited by a moderator:
Misulengwa ya nyere bada ipo hai, ata hayamini km nyere ashakufa just yapo yapo tu, kila ki2 baba wa taifa ata yakiingia mend wa ------ kama hayajafkiria mawazo ya nyerere (ALAIH LAANATULLAH) hawawezi kumtoa.
 
Sasa kipi kinakutia hofu au bado tu mawazo ya nyerere yanakutawala?tanganyika lazima irudi.
 
Bobwe, composition katika vyama vya siasa na ukweli ulivyo. Kudai Tanganyika siyo tatizo kabisa
 
Last edited by a moderator:
Turufuu naona unavyoteseka na touch screen.
 
Last edited by a moderator:
Bobwe, composition katika vyama vya siasa na ukweli ulivyo. Kudai Tanganyika siyo tatizo kabisa

Watanganyika mnaona tabu kuidai tanganyika yenu coz mnajuwa ukoloni wenu zidi ya zanzbr utafikia kikomo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom