Nina hofu ya UKIMWI

Nina hofu ya UKIMWI

Habari wakuu

Jana niliruka na dem mmoja ambaye kiukweli simuamini hali yake kiafya, ofcourse tulitumia ndom ila katika kumshika shika baadae nilikuja kukumbuka kuwa nina kidonda kidogo kibichi ( open wound )kwenye kidole changu cha mkono wa kulia.

Napata hofu sana nikihofia huenda nitakuwa nimegusana nae japo sikumbuki vizuri kama nilimshika sehemu zake za siri kwa mkono wa kulia.

Nahitaji kuanza PEP naombeni muongozo wa namna ya kuzipatana wapi.

Natanguliza shukrani [emoji881]
Ulikula Tunda Kimasihara.
 
Oya mkuu!ukiponyeka hapo uache kumsikilza abdala kichwa wazi hata Kam maji yatakuw yamejaa san
 
Habari wakuu

Jana niliruka na dem mmoja ambaye kiukweli simuamini hali yake kiafya, ofcourse tulitumia ndom ila katika kumshika shika baadae nilikuja kukumbuka kuwa nina kidonda kidogo kibichi ( open wound )kwenye kidole changu cha mkono wa kulia.

Napata hofu sana nikihofia huenda nitakuwa nimegusana nae japo sikumbuki vizuri kama nilimshika sehemu zake za siri kwa mkono wa kulia.

Nahitaji kuanza PEP naombeni muongozo wa namna ya kuzipatana wapi.

Natanguliza shukrani [emoji881]
Pole mkuu, I know this feelings.
 
Back
Top Bottom