Roseyree
Member
- Oct 16, 2024
- 42
- 78
Jaman mimi ni bint nimemaliza chuo na ni laboratory technologist proffesional naomba msaada wa connect ya kazi plz jsman nipo Dar es salaam mbezi Magufuli.
Pia nina huduma hizi kwa waliopo mikoani na watakaka kununua bidhaa dar es salaam popote
View attachment 3133147
Pia nina huduma hizi kwa waliopo mikoani na watakaka kununua bidhaa dar es salaam popote
- Nina huduma ya kwenda kufungia mzigo kama ni kariakooo au popote dar nakufatia mzigo wako na kukuhakikishia uko na quality unayotaka.
- Pia nina huduma ya kukutafutia masoko ya jumla mfano nguo nzuri za mtumba ukihitaj nakutaftia kwa bei nafuu magaui yapo kwa jumla kuanzia sh elf 3 unapata gauni kwa jumla ambalo unaweza kwenda kuuza hadi sh 15 au zaidi
- Kama unahitaj msaada wowote kuhusu kununua bidhaa dar na upo mbali niamini nitakusaidia jaman Uaminifu ni kitu cha muhimu zaidi kwangu
View attachment 3133147