Nina huzuni sana leo!

Nina huzuni sana leo!

Wang Shu

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
2,562
Reaction score
3,715
Nimetengwa na niliyempenda niliyemthamini niliyedhani atakuwa wangu wa ndoa niliyempatia kila alichoitaji nilijisikia furaha yeye akifurahi pale anaponambia ahsante.

Leo alichonifanyia kimenifanya usiku wa leo nione mrefu sitamani chochote labda ningempata wakunifariji sijui labda kama angaweza kunirejesha kwenye hali yangu ya kawaida.

Najipa moyo kesho nayo ni siku nikiamka nitakuwa mpya mambo yataenda kama kawaida.

Conversations za asubuhi ya leo ilikuwa hivi:- na haijawai pita siku bila kumjulia hali asubuhi.
Me: Habari umeamkaje?
She: mzuri
Me: Leo unaamka mda gani?
She: Saa 3
Me: Okay, kwanini mda huo?
She: Nimeamua tu.
Me: Sawa asubuhi njema nikikujulia hali.
She: .....aliuchuna ukawa mwisho hapo saa 5 asubuhi alinipigia simu kunilaumu kwanini sijamtafuta asubuhi ameona kimya?
Sikajiuliza sikupata majibu nikamwambia itakuwa umekosea namba!

Jioni nikaomba tuonane sasa hicho nilichokiona ibaki iwe siri yangu.💔

Mda huu nasikiliza wimbo wa Akon ~lonely upo repeated.
 
Siku moja alikuja mwanamke mmoja ndugu yangu kunitembelea toka dar, akapika ugali laini mno nilicheka kiukweli maana dah...!

Kama ndivyo wanaume wa dar mna shida.
Dar ugali ni laini...kuna dogo katoka mkoa akanywa vikombe viwili vya chai na anakunywa chai mchana nilimshangaa sana,baada ya kunywa chai anaanza kuvua nguo joto hahah
 
Mda huu nasikiliza wimbo wa Akon ~lonely upo repeated.
Ongezea na hii mkuu , "So sick- Ne yo"
Nitarudi na nyingine nikusaidie kutengeneza playlist, pole sana budda ndio ukubwa huo.







Let's meet at the top, cheers 🥂
 
Back
Top Bottom