Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
Usiwe na wasi wasi, terminal II pia inatumika. Ulipaswa kuwa na wasiwasi kama ingekuwa terminal I hiyo ndiyo exclusive local though kwa flight maalumu za kimataifa pia hutumika.Jamani labda ni wivu umenizidi au labda ni umbumbumbu.
Mume wangu wiki nzima amekuwa na maandalizi ya safari ya kikazi Nairobi. Tunapendana na kuheshimiana sana pia na kuaminiana.
Leo alikuwa anaondoka na ndege ya alfajiri, nikampeleka airport, nilipokuwa nataka kuingia Terminal lll akasema nyosha, twende Terminal ll.
Nikawa speechless, nimepigwa na butwaa na mshangao, inakuwaje aende Terminal ll wakati hiyo ni kwa ajili ya local flights?
Ninachojua Terminal lll ni kwa ajili ya International flights.
Ndugu zangu, naomba mnisaidie, nina huzuni sana moyoni, naombeni mawaidha yenu nisije nikawa namhukumu kwa ubaya baba wa watu bure
Na wewe drop kwangu upoze machungu!!Jamani labda ni wivu umenizidi au labda ni umbumbumbu.
Mume wangu wiki nzima amekuwa na maandalizi ya safari ya kikazi Nairobi. Tunapendana na kuheshimiana sana pia na kuaminiana.
Leo alikuwa anaondoka na ndege ya alfajiri, nikampeleka airport, nilipokuwa nataka kuingia Terminal lll akasema nyosha, twende Terminal ll.
Nikawa speechless, nimepigwa na butwaa na mshangao, inakuwaje aende Terminal ll wakati hiyo ni kwa ajili ya local flights?
Ninachojua Terminal lll ni kwa ajili ya International flights.
Ndugu zangu, naomba mnisaidie, nina huzuni sana moyoni, naombeni mawaidha yenu nisije nikawa namhukumu kwa ubaya baba wa watu bure
Nilipigwa na butwaa kinywa kikafunga, kauli ikakatasi ungemuuliza? mume wako unamuogopa?
Termina six packs?Na wewe drop kwangu upoze machungu!!
Tena drop hapa Terminal six!
Kauli ilikata, niko naye huru sana na ni rafiki mwema kwanguKama ni mumeo unapaswa kuwa huru kumuuliza yeye, sisi humu tutabashiri tu jibu sahihi.
YapTermina six packs?
Mi napenda one pack
upo sahihi uliposema ni umbumbumbu wako, maana terminal 2 kuna ndege za kwenda kenya nairobi.Jamani labda ni wivu umenizidi au labda ni umbumbumbu.
Mume wangu wiki nzima amekuwa na maandalizi ya safari ya kikazi Nairobi. Tunapendana na kuheshimiana sana pia na kuaminiana.
Leo alikuwa anaondoka na ndege ya alfajiri, nikampeleka airport, nilipokuwa nataka kuingia Terminal lll akasema nyosha, twende Terminal ll.
Nikawa speechless, nimepigwa na butwaa na mshangao, inakuwaje aende Terminal ll wakati hiyo ni kwa ajili ya local flights?
Ninachojua Terminal lll ni kwa ajili ya International flights.
Ndugu zangu, naomba mnisaidie, nina huzuni sana moyoni, naombeni mawaidha yenu nisije nikawa namhukumu kwa ubaya baba wa watu bure
Kuamini hakunifanyi akili yangu isifanye kazi.Umesema mnapendana, mnaheshimiana na MNAAMINIANA.
Unajua maana ya kuamini? Au uliandika tu
Ungeangalia flight number kwenye zile screens, au hukushuka kumsindikiza departure "kumuwaawu" goodbye?! .. next time muombe ticket yake ujithibitishie anakokwenda ..or else labda tu unahisi unatendwa kama vile unavyotenda wewe ..just speculating.Kauli ilikata, niko naye huru sana na ni rafiki mwema kwangu
Asante kwa kunijuzaupo sahihi uliposema ni umbumbumbu wako, maana terminal 2 kuna ndege za kwenda kenya nairobi.
Natenda yepi?kama vile unavyotenda wewe
KIA to NRB is just a walking 🚶 distanceAnaenda KIA then aruke hadi Kenya