Nina huzuni..

Nina huzuni..

Yah ni gharama nakubali..ila advantage yake ni kuwa una uhakika wa kula koz ukipata hela kdogo unanunua stock ya kutosha..
Pia unajua unaeza pika wali mwingi usiku ukala kesho yake kiporo chai na mchana ukala tena hicho hicho..usisahau tu kupasha asubuhi.
Then mboga unanunua mchicha fungu sh. Hamsini siku imeisha..

Hapo ni kweli kabisa mkuu ila huwezi kweli kuongea na mama ntilie ukawa na bill ya mwaka mzima yaani mkaongea terms akakupunguzia alafu kumuhakikishia mambo yakiwa mabaya utampa baabae yaani hata mkiandikishiana sehemu na ajue unapotoka ili usije kumkimbia, ila kwa mwendo wa kipolo na mboga za fungu la tshs mia kweli siku inakwenda thats the way to go mkuu
 
Ndugu pole sana, najua utaona kama wengi wanaochangia wanakuvunja moyo lakini amini hao wote wanaochangia walipitia hali ngumu kuliko wewe hasa waliosoma udsm! kipindi chetu nakumbuka tulikuwa zaidi ya kumi chumba kimoja, then kila mtu kachoka mbaya, so tulikuwa tunadownload maji tunajaza kwenye machupa yale ya lita tano, then kila mtu ana nunua chapati sita, ikiwa ni hesabu ya 2 asubui,2mchana,2 usiku! chai ilikuwa ni msamiati kwetu. Na tulikuwa tunakandamiza msuli sina ndugu, wa ukweli.
 
Thanks for an insightful experience you‘ve shared
 
Back
Top Bottom