Bongo Trust
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 253
- 247
[emoji28][emoji28]sawa boss nashukuru kwa ushauriYabadilishe kuwa mziki uingie studio utupie youtube upate views wengi umzidi diamond uwe msanii mwenye hela Africa
Jifunze kuandika movie scriptHabari zenu wana jukwaa. Kama nilivyo eleza kwenye kichwa cha post, mimi ninayo idea na uwezo wa utunzi wa hadithi na mashairi, hivyo naomba mwenye kujua jinsi ya kuweza kuutumia ujuzi huu kwa manufaa zaidi ili iweze kunisaidia.
Niliwahi kufikiria kuchapisha vitabu nikaviuze ila nikaona cost zake ni kubwa sana hivyo naomba kama kuna mbinu nyingine basi mnisaidie.
Natanguliza shukrani [emoji120]
Asantee mkuu, nimekupata [emoji120]Jifunze kuandika movie script
Ahsante mkuu Wazo zuri nitalizingatia [emoji120][emoji120]Hayo mashairi yatafutie melody wauzie wanamusic. Ukiuza nyimbo 3 zikahit ingia mwenyewe studio.
Amazon Kindle publishing wanachapisha bure halafu wanakuuzia onlineHabari zenu wana jukwaa. Kama nilivyo eleza kwenye kichwa cha post, mimi ninayo idea na uwezo wa utunzi wa hadithi na mashairi, hivyo naomba mwenye kujua jinsi ya kuweza kuutumia ujuzi huu kwa manufaa zaidi ili iweze kunisaidia.
Niliwahi kufikiria kuchapisha vitabu nikaviuze ila nikaona cost zake ni kubwa sana hivyo naomba kama kuna mbinu nyingine basi mnisaidie.
Natanguliza shukrani [emoji120]