Nina idea ya utunzi wa hadithi na mashairi je nitaitumiaje iweze kunipa manufaa

Bongo Trust

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2017
Posts
253
Reaction score
247
Habari zenu wana jukwaa. Kama nilivyo eleza kwenye kichwa cha post, mimi ninayo idea na uwezo wa utunzi wa hadithi na mashairi, hivyo naomba mwenye kujua jinsi ya kuweza kuutumia ujuzi huu kwa manufaa zaidi ili iweze kunisaidia.

Niliwahi kufikiria kuchapisha vitabu nikaviuze ila nikaona cost zake ni kubwa sana hivyo naomba kama kuna mbinu nyingine basi mnisaidie.

Natanguliza shukrani [emoji120]
 
Jifunze kuandika movie script
 
Hayo mashairi yatafutie melody wauzie wanamusic. Ukiuza nyimbo 3 zikahit ingia mwenyewe studio.
 
Habari zenu wana jukwaa. Kama nilivyo eleza kwenye kichwa cha post, mimi ninayo idea na uwezo wa utunzi wa hadithi na mashairi, hivyo naomba mwenye kujua jinsi ya kuweza kuutumia ujuzi huu kwa manufaa zaidi ili iweze kunisaidia.

Niliwahi kufikiria kuchapisha vitabu nikaviuze ila nikaona cost zake ni kubwa sana hivyo naomba kama kuna mbinu nyingine basi mnisaidie.

Natanguliza shukrani [emoji120]
Amazon Kindle publishing wanachapisha bure halafu wanakuuzia online
 
Mashairi yako yanahusu nini hasa?

Kama yanahusu mapenzi basi kupata hela ni rahisi sana

Ila kama yanahusu siasa au kuikosoa serikali hutapata hela yoyote zaidi ya shida
 
Back
Top Bottom