gonamwitu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 2,187
- 2,794
Pamoja na kupoteza mechi ya leo tumecheza vizuri tunakosa quality maeneo ya pembeni. Joshua mutale na kibu hamna kitu, ahoua bado anahitaji kuimprove game yake.
Pamoja na musa camara"spiderman" kufanya makosa bado nina imani naye na ninamkubali vibaya mno na nnamuomba fadlu aendelee kumchezesha mpaka siku ya kiama.
Nipo na Simba yangu mpaka initoe damu, mpaka iniue. Nimeipenda mwenyewe niacheni iniue.