Nina imani na Simba, nina imani na Musa Camara

Nina imani na Simba, nina imani na Musa Camara

Mpira wa TZ nikituko,Simba alikua mwiba sana miaka 4 iliopita,alichofanya yanga nikuchukua na kupata mbinu simba anazotumia mpk akawa bora then wakavurugwa mnoooo,wakagombana wenyewe na kuelewana simba kitimu bado sana ila wachezaji wapo,msimu huu wajitahidi waende champions league then next season wawaze ubingwa ila msimu huu hicho kitu hawawezi,GSM anatumia nguvu kubwa sn kibiashara kuhakikisha simba/Mo hachimozi mpk uchawi unafanywa ili waweze wini,vita ya TZ kubwa sn kwakua haipo uwanjani tu mpk kwenye biashara zao
viongozi wa simba wapuuzi sana
 
Pamoja na kupoteza mechi ya leo tumecheza vizuri tunakosa quality maeneo ya pembeni. Joshua mutale na kibu hamna kitu, ahoua bado anahitaji kuimprove game yake.

Pamoja na musa camara"spiderman" kufanya makosa bado nina imani naye na ninamkubali vibaya mno na nnamuomba fadlu aendelee kumchezesha mpaka siku ya kiama.

Nipo na Simba yangu mpaka initoe damu, mpaka iniue. Nimeipenda mwenyewe niacheni iniue.
Maneno hayo,umpelekee magoli sijui kama atakuelewa maana ametoa povu la maana kwa kamara.
 
Maneno hayo,umpelekee magoli sijui kama atakuelewa maana ametoa povu la maana kwa kamara.
SIMBA ilikuepo kabla ya magori,itakuepo hata baada ya magori. Simba ni kubwa kuliko huyo mpuuzi mwenzako magori.
 
Back
Top Bottom