Ubaya uboya ubwegeNakuunga mkono...tuko pamoja...
Poleni leo nadhani mmekumbuka kuiombea timu huko ibadani.Nakuunga mkono...tuko pamoja...
Hii ni yetu milele na milelePamoja na kupoteza mechi ya leo tumecheza vizuri tunakosa quality maeneo ya pembeni. Joshua mutale na kibu hamna kitu, ahoua bado anahitaji kuimprove game yake.
Pamoja na musa camara"spiderman" kufanya makosa bado nina imani naye na ninamkubali vibaya mno na nnamuomba fadlu aendelee kumchezesha mpaka siku ya kiama.
Nipo na Simba yangu mpaka initoe damu, mpaka iniue. Nimeipenda mwenyewe niacheni iniue.
Kwani tumesema tunakushika?niacheni iniue.
Acha tuu nimeiombea kwa kunenq kwa lugha...hahahaPoleni leo nadhani mmekumbuka kuiombea timu huko ibadani.
Ubaya ubwelaaaa...hii itabaki kuwa hivyo...msimu haujaisha tuliza komwe...
chozi halikukutoka...🤣Acha tuu nimeiombea kwa kunenq kwa lugha...hahaha
Naunga mkono hoja.Pamoja na kupoteza mechi ya leo tumecheza vizuri tunakosa quality maeneo ya pembeni. Joshua mutale na kibu hamna kitu, ahoua bado anahitaji kuimprove game yake.
Pamoja na musa camara"spiderman" kufanya makosa bado nina imani naye na ninamkubali vibaya mno na nnamuomba fadlu aendelee kumchezesha mpaka siku ya kiama.
Nipo na Simba yangu mpaka initoe damu, mpaka iniue. Nimeipenda mwenyewe niacheni iniue.
Mungu atawajibia maombi yenu ila sio kwa Yanga.Acha tuu nimeiombea kwa kunenq kwa lugha...hahaha
Kukunyoa?acha uchawi ungali mtoto mdogo ndo kwanza mara yako ya pili kunyoa.
Mpira wa TZ nikituko,Simba alikua mwiba sana miaka 4 iliopita,alichofanya yanga nikuchukua na kupata mbinu simba anazotumia mpk akawa bora then wakavurugwa mnoooo,wakagombana wenyewe na kuelewana simba kitimu bado sana ila wachezaji wapo,msimu huu wajitahidi waende champions league then next season wawaze ubingwa ila msimu huu hicho kitu hawawezi,GSM anatumia nguvu kubwa sn kibiashara kuhakikisha simba/Mo hachimozi mpk uchawi unafanywa ili waweze wini,vita ya TZ kubwa sn kwakua haipo uwanjani tu mpk kwenye biashara zaoPamoja na kupoteza mechi ya leo tumecheza vizuri tunakosa quality maeneo ya pembeni. Joshua mutale na kibu hamna kitu, ahoua bado anahitaji kuimprove game yake.