sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Ni kauli ya Jumapili ya leo. Kijana ana miaka 20 ana mjimama 39 aisee namuuliza mbona ulisema unakuja na mademu wawili alafu umekuja na mama yako?
Ilikuwa ni bonge la soo jamaa anasema huyu ni jimama ila sio mama yako wala sio mama yangu ni demu wangu! Hhahahaah
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwa ni bonge la soo jamaa anasema huyu ni jimama ila sio mama yako wala sio mama yangu ni demu wangu! Hhahahaah
Sent using Jamii Forums mobile app