Nina jinsia mbili, natafuta mpenzi

Nina jinsia mbili, natafuta mpenzi

Status
Not open for further replies.
Hmmmm! ipi ambayo mwenyewe ungependa kuitumia maishani mwako moja au zote? Kuliwahi kuwa na uzi humu wa jamaa ambaye alikuwa na dada yake baba mmoja mama mmoja na maishani mwake siku zote alijua dada yake ni mwanamke. Na alikuwa na mashoga zake ni warembo sana na mdogo mtu wa kiume hadi wengine kuwamezea mate. siku moja wawili wakaja kumtembelea dada yake nyumbani kwao na yeye akiwepo. Kisha hao wakatokomea chumbani. Mdogo mtu hakuona cha ajabu maana kwa mashoga walioshibana kuingizana chumbani si kitu cha ajabu hata kidogo. Baadaye kukaanguka varangati la kukata na shoka kule chumbani, mdogo tu akavumilia lakini uvumilivu ukamshinda maana kelele zilizidi kuongezeka na akaona asije kuumia mtu au hata kufa hivyo akaamua kuingia kule chumbani kwa nguvu na ndipo kumkuta dada yake akiwa uchi wa nyama huku dushe limesimama. Inawezekana details haziko 100% accurate lakini huo uzi umo humu na kama kumbukumbu zangu ni nzuri ulipata wachangiaji wengi sana.

Aliandikaa jamaa mmoja anaitwa LIKUD

Habari zenu wana JF. Naomba kushare nanyi suala hili kuhusu dada yangu wa tumbo moja ambalo sikuwahi kulihisi, kulidhani wala kulijua kwa zaidi ya miaka 20. Kifupi mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 23 ( Natimiza miaka 24 mwezi Juni mwaka huu ). Kwa sasa ninasoma mwaka wa mwisho katika chuo kikuu kimoja hapa nchini Tz .

Kwetu tumezaliwa watatu dada zangu wawili, wa kwanza alizaliwa miaka ya sabini ( R.I.P ) na huyu wa pili ambaye ndie point of discussion, alizaliwa mwanzoni kabisa mwa miaka ya 1980. Ngoja niende moja kwa moja kwenye point, siku ya jumamosi iliyopita ( tarehe 27 APRILI 2013 ) saa nne kamili za asubuhi nilienda kumtembelea dada yangu ( ni msomi/ ana masters/kazi nzuri na miradi mikubwa/hana mume, mtoto wala sijawahi kusikia chochote kuhusu kuwa na rafiki wa kiume yaani boyfriend )...Nilienda pale kwa ajili ya kupiga mzinga kidogo na nilipanga kurudi hosteli ambako ninaishi siku iliyokuwa inafuata yani jumapili.

Mida ya saa sita mchana, aliwasili mdada mmoja ambaye ninamjua kama rafiki wa karibu wa dada yangu, tulisalimia kisha dada akaja kumpokea mgeni wake kisha wakaelekea ukumbini, baadaye nikarudi zangu chumbani kwangu na kuendelea kucheza na laptop yangu. Yalipita kama masaa mawili hivi mdada mwingine aliwasili nyumbani na kuingia moja kwa moja chumbani kwa sista ( sikujua kilichokuwa kinaendelea coz wakati huo nilikuwa chumbani, ila nilikuja kujua baadaye kwamba kuna mdada mwingine alikuja nyumbani pale ).

Nilikuja kustushwa baadaye na kelele za ugomvi mkubwa sana, zikitoka chumbani kwa dada yangu ambako nilisikia kelele, na matusi mazito yakiporomoshwa, vilio na chupa zikivunjwa vunjwa hovyo, sikuwa na jinsi nikaamua kukimbilia upande kilipo chumba cha dada yangu kutoa msaada. Kufika sikuamini kilicho tokea, nilimkuta dada yangu na yule dada mwingine ambaye nilikuwa namjua kama rafiki yake wakiwa kama walivyo zaliwa, wamelewa wanagombana na huyu mdada mwingine aliyekuja wakati mimi nimo ndani, huyu dada mwingine alikuwa anamshambulia yule dada aliyekuja mara ya kwanza na dada yangu alikuwa anajaribu kumzuia..

Kilicho nishangaza zaidi kuhusu dada yangu ni kwamba ana uume ( tena mkubwa tu kama uume wa mwanaume rijali, umesimama barabara na umevalishwa kinga ), mwanzoni nilidhani labda amevaa midoli lakini haikuwa hivyo, nii uume kabisa ( ambao haujatahirwa lakini ).. Nilicho kifanya ni kumtoa yule dada aliyekuja mwishoni hadi nje kisha nikarudi zangu chumbani kwangu....

Sikufanikiwa kuongea na dada yangu usiku huo hadi kesho yake but sikuongea chochote kuhusu kilicho tokea jana yake though aliniomba radhi kwa kilicho tokea but hatukuzungumzia kabisa kuhusu suala la yeye kuwa na jinsia mbili..Kusema ukweli suala hili linanikosesha sana raha na i dont know how will i cope with it.sitaongea na yoyote wala sitawauliza wazazi wangu but picha hii nitakaa nayo kwa muda mrefu sana, simuoni tena dada yangu kama nilivyo kuwa naumona before..

NAOMBA KUWAULIZA , HIVI HILI NI SUALA LA KAWAIDA KWELI KWA MWANAMKE KUWA NA JINSI MBILI NA ZOTE ZIKAWA ZINAFANYA KAZI ! AU NI KWA DADA YANGU TU? NAHISI LIKE ITS A KIND OF BADLUCK TO OUR FAMILY..PLEASE NIPENI USHAURI WENU
 
Hakuna mtu mwenye jinsia mbili hiI ni story ya kusadikika
 
Pole sana dada
Mimi nakushauri uende hospitali na kwa kuwa upo Arusha; nenda St Thomas uonane na Dr Msuya (ni specialist wa magonjwa ya kinamama, au nenda pale Selian uulize lini Dr wa kina mama kutoka KCMC wanakuja ukawaone.
Kwa mtazamo wangu hiyo jinsia ya kiume ilitakiwa ikatwe ukiwa mdogo ila naamini bado upo msaada mzuri tu wa kitaalam. wala usiogope kwenda Hospitali kwani ni tatizo tu la Hormone; ila ni vizuri umuone Daktari bingwa (specialist) wa magonjwa ya wanawake hao wengine watakupotezea muda.

Kwa wale wasio jua; hiyo jinsia ya kiume ni ile Clitoris (ndiyo penis kwa mwanamme) hivyo imerefuka na kuwa active wakati inatakiwa iwe recessive
Ni sawa tu na mwanamme vile vichuchu vikue na kuwa Matiti wakati kiutaratibu kwa mwanamme vinatakiwa viwe recessive!
 
Habarini za jioni wana jamii wenzangu,

Ni Mara yangu ya kwanza kujiunga hapa, ninatafuta mpenzi wa kweli, mimi ni mwanamke mrembo lakini nina jinsia mbili ya kike na ya kiume, nimeteseka sana kupata mwenza, naomba ambaye yupo tayari ani PM. Umri wangu miaka 30 ninaishi Arusha.

Nipo serious,asanteni
Jinsia ipi ina nguvu zaidi??
 
Aliandikaa jamaa mmoja anaitwa LIKUD

Habari zenu wana JF. Naomba kushare nanyi suala hili kuhusu dada yangu wa tumbo moja ambalo sikuwahi kulihisi, kulidhani wala kulijua kwa zaidi ya miaka 20. Kifupi mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 23 ( Natimiza miaka 24 mwezi Juni mwaka huu ). Kwa sasa ninasoma mwaka wa mwisho katika chuo kikuu kimoja hapa nchini Tz .

Kwetu tumezaliwa watatu dada zangu wawili, wa kwanza alizaliwa miaka ya sabini ( R.I.P ) na huyu wa pili ambaye ndie point of discussion, alizaliwa mwanzoni kabisa mwa miaka ya 1980. Ngoja niende moja kwa moja kwenye point, siku ya jumamosi iliyopita ( tarehe 27 APRILI 2013 ) saa nne kamili za asubuhi nilienda kumtembelea dada yangu ( ni msomi/ ana masters/kazi nzuri na miradi mikubwa/hana mume, mtoto wala sijawahi kusikia chochote kuhusu kuwa na rafiki wa kiume yaani boyfriend )...Nilienda pale kwa ajili ya kupiga mzinga kidogo na nilipanga kurudi hosteli ambako ninaishi siku iliyokuwa inafuata yani jumapili.

Mida ya saa sita mchana, aliwasili mdada mmoja ambaye ninamjua kama rafiki wa karibu wa dada yangu, tulisalimia kisha dada akaja kumpokea mgeni wake kisha wakaelekea ukumbini, baadaye nikarudi zangu chumbani kwangu na kuendelea kucheza na laptop yangu. Yalipita kama masaa mawili hivi mdada mwingine aliwasili nyumbani na kuingia moja kwa moja chumbani kwa sista ( sikujua kilichokuwa kinaendelea coz wakati huo nilikuwa chumbani, ila nilikuja kujua baadaye kwamba kuna mdada mwingine alikuja nyumbani pale ).

Nilikuja kustushwa baadaye na kelele za ugomvi mkubwa sana, zikitoka chumbani kwa dada yangu ambako nilisikia kelele, na matusi mazito yakiporomoshwa, vilio na chupa zikivunjwa vunjwa hovyo, sikuwa na jinsi nikaamua kukimbilia upande kilipo chumba cha dada yangu kutoa msaada. Kufika sikuamini kilicho tokea, nilimkuta dada yangu na yule dada mwingine ambaye nilikuwa namjua kama rafiki yake wakiwa kama walivyo zaliwa, wamelewa wanagombana na huyu mdada mwingine aliyekuja wakati mimi nimo ndani, huyu dada mwingine alikuwa anamshambulia yule dada aliyekuja mara ya kwanza na dada yangu alikuwa anajaribu kumzuia..

Kilicho nishangaza zaidi kuhusu dada yangu ni kwamba ana uume ( tena mkubwa tu kama uume wa mwanaume rijali, umesimama barabara na umevalishwa kinga ), mwanzoni nilidhani labda amevaa midoli lakini haikuwa hivyo, nii uume kabisa ( ambao haujatahirwa lakini ).. Nilicho kifanya ni kumtoa yule dada aliyekuja mwishoni hadi nje kisha nikarudi zangu chumbani kwangu....

Sikufanikiwa kuongea na dada yangu usiku huo hadi kesho yake but sikuongea chochote kuhusu kilicho tokea jana yake though aliniomba radhi kwa kilicho tokea but hatukuzungumzia kabisa kuhusu suala la yeye kuwa na jinsia mbili..Kusema ukweli suala hili linanikosesha sana raha na i dont know how will i cope with it.sitaongea na yoyote wala sitawauliza wazazi wangu but picha hii nitakaa nayo kwa muda mrefu sana, simuoni tena dada yangu kama nilivyo kuwa naumona before..

NAOMBA KUWAULIZA , HIVI HILI NI SUALA LA KAWAIDA KWELI KWA MWANAMKE KUWA NA JINSI MBILI NA ZOTE ZIKAWA ZINAFANYA KAZI ! AU NI KWA DADA YANGU TU? NAHISI LIKE ITS A KIND OF BADLUCK TO OUR FAMILY..PLEASE NIPENI USHAURI WENU
Huenda huyu akawa dadake na likud
 
Habarini za jioni wana jamii wenzangu,

Ni Mara yangu ya kwanza kujiunga hapa, ninatafuta mpenzi wa kweli, mimi ni mwanamke mrembo lakini nina jinsia mbili ya kike na ya kiume, nimeteseka sana kupata mwenza, naomba ambaye yupo tayari ani PM. Umri wangu miaka 30 ninaishi Arusha.

Nipo serious,asanteni

njoo dar la ntakua nakuweka tu ntakutafutia demu uwe una muweka ila mi bonge la fukara
ni check 0765970494
 
Pole sana dada
Mimi nakushauri uende hospitali na kwa kuwa upo Arusha; nenda St Thomas uonane na Dr Msuya (ni
Kwa wale wasio jua; hiyo jinsia ya kiume ni ile Clitoris (ndiyo penis kwa mwanamme) hivyo imerefuka na kuwa active wakati inatakiwa iwe recessive
Ni sawa tu na mwanamme vile vichuchu vikue na kuwa Matiti wakati kiutaratibu kwa mwanamme vinatakiwa viwe recessive!
d668aa07e37f505118c342a34abbbb93.jpg

Hakuna mtu mwenye jinsia mbili hiI ni story ya kusadikika
Kwanini msiingie Google au wikipedia
mnawadanganya wenzenu ETI hakuna wenye jinsia mbili
nasema wapo na wanatumia kotekote hata Mji wangu hapa Tanzania yupo
msinitafutie BAN
 
Habarini za jioni wana jamii wenzangu,

Ni Mara yangu ya kwanza kujiunga hapa, ninatafuta mpenzi wa kweli, mimi ni mwanamke mrembo lakini nina jinsia mbili ya kike na ya kiume, nimeteseka sana kupata mwenza, naomba ambaye yupo tayari ani PM. Umri wangu miaka 30 ninaishi Arusha.

Nipo serious,asanteni
HUJAELEZA JINSIA IPI IPO ACTIVE,,,zote mbili au IPI?Mimi Nina NIA ya dhati kuja PM..lakini nijuwe kwnz nataka nimuoe NANI....KAMA NI mambo ya KULALA NA JEANS BAADA YA KUGEGEDANA NIJUWE,,, MAANA..unaweza UKALALA UCHI ukajikuta MKEO YUPO MGONGONI,,hebu tueleze IPI IPO ACTIVE...AU ZOTE MBILI?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom