Nina jinsia mbili, natafuta mpenzi

Status
Not open for further replies.
Kabla ya yote wewe unapenda kua mwanaume au mwanamke ?
 
Arusha wapi unaishi nije tuongee nihakikishe alafu msaada nikupatie
 
niko interested na wewe , please inbox or nipe contact zako. am so serious
 
Hii kweli au umeandika uchekeshe watu tu. Manake kuliwa Tigo na demu/kaka hatareee
 
Whatsapp.Nicheki.Ila ukiwatali kua mwanamke halisi.Maana nitakuoa kabisa
 
People mmeanza kuchanganya kati ya Hermaphrodite na Shemale,

Hermaphrodite ni mtu ambae ANAZALIWA na jinsia zote mbili ambazo zinaweza zote kufanya kazi au moja.

Shemale ni MWANAUME ambae amefanya upasuaji na kuwekewa matiti, makalio, nywele, sauti, n.k VYA KIKE ila 'dushe' linabaki vile vile so anaweza kugegedwa na midume au kumgegeda mwanamke.

So huyo dada sio SHEMALE ni HERMAPHRODITE.
 
Sio kweli hauna hiyo kitu.

Kimaumbile unapokuwa umezaliwa hivyo unakuwa msiri sana na unamuambia mpenz wako yule anaekupenda na kukujali huku ukitetemeka na hofu ya hali ya juu ukiwa unampa ukweli.

Shemale hawapo hivyo hawana tupu za mbele zote mbili..ila wapo na maumbile ya kike kama vile maziwa, sauti na hormon za kike lakini anakuwa na penis tu upande wa mbele.

Umesema zote 2 zinafanya kazi sio kweli coz Kuna wanawake ambao wanayo ya kiume kwa juu ila ni kijidogo sana kama ya mtoto mdogo ila haifanyi kazi.

Kuna maswali ya wadau hapo juu unayakimbia huja jibu kwa sababu haupo hivyo na huwajui vizuri hao watu ila umeitunga tu story..

hata ukiingia nae ndani kabla hujafanya chochote kwake anakuambia ukweli..una kifua?? Utanitunzia siri?
 
Ukweli ndio huo niliosema Na si vinginevyo
 
Asante kuwaelewesha
 

"Hermaphroditism"

umeelezea vyema
nilitaka kuelezea hili pia
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…