Nina jinsia mbili, natafuta mpenzi

Status
Not open for further replies.

Anaitwa LIKUD, mkuu umeandika kama vile umeisoma juzi.
 
Unakataa wakati wa uumbaji wake ulishiriki!?!?!
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
sasa hujasema unataka ipi ndio shida na ipi ipo active?
 
Usikate tamaa kabisa.... Mwenza utampata lakini mbona umesubiri sana kufungua!?!?
Another thing God works in mysterious ways and through you na Imani ametaka tujifunze ili wenye hali kama hii wasijione wapweke.
Asante kwa kujiamini.
Kulingana na maelezo yako umejaaliwa kupewa uume na nyapu. Ni ujasiri wa hali ya juu kuamua kutumia nyapu. you deserve to be a woman and a mother the choice you made choice speaks for itself.
Hope you get a man to love you unconditionally. All the best mrembo.
 

Hermaphrodite siyo kwa watu tu hata kwa viumbe wengine wenye jinsia zote mbili kwa pamoja.
 
Pole sn ndugu kwan ulishawahi kuonana na madaktari kipindi ulipobain hiyo hali? Na je kipind ulipozaliwa doctor hyo hali aliisemaje?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…