Nina jinsia mbili, natafuta mpenzi

Nina jinsia mbili, natafuta mpenzi

Status
Not open for further replies.
Habarini za jioni wana jamii wenzangu, ni Mara yangu ya kwanza kujiunga hapa, ninatafuta mpenzi Wa kweli, Mimi ni mwanamke mrembo lakini Nina jinsia mbili ya like Na ya kiume, nimeteseka sana kupata mwenza, naomba ambaye yupo tayari ani PM. Umri wangu miaka 30 ninaishi Arusha.nipo serious . asanteni

Mbona hujibu SMS za pm sasa
 
Kuna mwanaume ambaye amewahi kujifungua huko bara la Asia kama nakumbuka vizuri....inawezekana kweli,,, but anaonekana hataki kufunguka zaidi anaongea kifupi tu
nimekaa nikajiuliza huyo mtu mfumo wa uzazi wake umeumbwaje?nikweli.mungu fundi anaweza fanya atakavyo ila hapo bado mh kuna ukakasi.kama huyo mwanaume alipataje mimba mzunguko wa hedh anaupata kupitia njia gani?
 
Huyo mwanaume alizaliwa kama mwanamke kamili. Baadaye akatumia homoni zenye vichocheo vua kiume na kuanza kumbadilisha saiti na kuanza kuota ndevu. Then akafanyiwa operation ya kuondoa matiti bila kuathiri mfumo wake wote wa uzazi. Kwa hiyo alibakiwa na uke na mji wa mimba kama wanawake wengine.
 
alah kumbe ni.kina maico jako?hao sawa sasa huyu dada yetu na yeye aseme wazi kama alijibadilisha au ndo mapenzi ya mungu.
 
Habarini za jioni wana jamii wenzangu,

Ni Mara yangu ya kwanza kujiunga hapa, ninatafuta mpenzi wa kweli, mimi ni mwanamke mrembo lakini nina jinsia mbili ya kike na ya kiume, nimeteseka sana kupata mwenza, naomba ambaye yupo tayari ani PM. Umri wangu miaka 30 ninaishi Arusha.

Nipo serious,asanteni
Tafadhali Mkuu Nitumie PM Namba Yako Haraka!!!
 
Habarini za jioni wana jamii wenzangu,

Ni Mara yangu ya kwanza kujiunga hapa, ninatafuta mpenzi wa kweli, mimi ni mwanamke mrembo lakini nina jinsia mbili ya kike na ya kiume, nimeteseka sana kupata mwenza, naomba ambaye yupo tayari ani PM. Umri wangu miaka 30 ninaishi Arusha.

Nipo serious,asanteni
Ongeza jinsia ya Tatu hapo utawapata wengi
 
Habarini za jioni wana jamii wenzangu,

Ni Mara yangu ya kwanza kujiunga hapa, ninatafuta mpenzi wa kweli, mimi ni mwanamke mrembo lakini nina jinsia mbili ya kike na ya kiume, nimeteseka sana kupata mwenza, naomba ambaye yupo tayari ani PM. Umri wangu miaka 30 ninaishi Arusha.

Nipo serious,asanteni
Daa! ndio bahati zenyewe hizi .... hebu nicheki chemba bibie tuweke mpango kazi, majibu ya maswali yote nitakuja kuyapatia hapo hapo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom