Nina jinsia mbili, natafuta mpenzi

Nina jinsia mbili, natafuta mpenzi

Status
Not open for further replies.
Habarini za jioni wana jamii wenzangu,

Ni Mara yangu ya kwanza kujiunga hapa, ninatafuta mpenzi wa kweli, mimi ni mwanamke mrembo lakini nina jinsia mbili ya kike na ya kiume, nimeteseka sana kupata mwenza, naomba ambaye yupo tayari ani PM. Umri wangu miaka 30 ninaishi Arusha.

Nipo serious,asanteni
Njoo kwangu tuwe wapenzi wa kweli kabisa
 
Habarini za jioni wana jamii wenzangu,

Ni Mara yangu ya kwanza kujiunga hapa, ninatafuta mpenzi wa kweli, mimi ni mwanamke mrembo lakini nina jinsia mbili ya kike na ya kiume, nimeteseka sana kupata mwenza, naomba ambaye yupo tayari ani PM. Umri wangu miaka 30 ninaishi Arusha.

Nipo serious,asanteni
Nitafute email jaffarjuma724@gmail.com
 
Omba msaada wa tiba kwanza tukuchangie uende ufanyiwe upasuaji ubaki na jinsia moja maana mpaka sasa ivi hujui unataka mtu wa namna gani mwamke au mwsnaume
Habarini za jioni wana jamii wenzangu,

Ni Mara yangu ya kwanza kujiunga hapa, ninatafuta mpenzi wa kweli, mimi ni mwanamke mrembo lakini nina jinsia mbili ya kike na ya kiume, nimeteseka sana kupata mwenza, naomba ambaye yupo tayari ani PM. Umri wangu miaka 30 ninaishi Arusha.

Nipo serious,asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je mtu akikubali kuwa nawewe upo tayari kuiua jinsia moja?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom