Nina jirani ambaye ni mdada kaumbika haswa lakini najiuliza nimuanzaje?

Masiahara hayo dogo, wewe umetuambia ulikuwa kitombi uliyekubuhu leo tena unatuomba jinsi ya kumkabili huyo demu, wacha hizo blaza,uliona wapi mbuzi akafundishwa kula majani?
 
Hv kuna vijana wa kiume bado wanataka kuingia kwenye mahusiano na mwanamke kwa kigezo cha ameumbika au ana sura nzuri?
 
Naona unatamani kulipa kodi ya nyumba mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ