Nyoka kibisa
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 568
- 1,507
Nicheki pm😀😀😀Hebu nipe na mie tuone anko😊
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nicheki pm😀😀😀Hebu nipe na mie tuone anko😊
Masiahara hayo dogo, wewe umetuambia ulikuwa kitombi uliyekubuhu leo tena unatuomba jinsi ya kumkabili huyo demu, wacha hizo blaza,uliona wapi mbuzi akafundishwa kula majani?Habari Wana JF
Katika mapambano ya kurudi uchumi wa kati Kwa spidi nilibahatika kuama mkoaa nakwenda kuanzisha maisha upya hii nipamoja na kuachana na totoz zotee nilizokua nazimiliki
Sababu iliyopelekea nianzishe maisha mapya nikutokana na uzinzi uliopitilizaa kwani nakumbuka katika wiki nilikua napumzika siku Moja tuu nakatika sikuu nilikua nabadilisha Hadi watatu ila Hali ikiwa mbaya sana naishia wawili jambo ambalo nilitamani niliache ila nikashindwa mpaka kupelekea kuhama mkoa.
Hivi Sasa ugenini ninawiki tatu sijawahifikiria hayomambo kabisa ilaa kiukwelii hapa ninapo kaa kunajirani yangu amenyambulika haswaa Yani mtoto almasi ,kiufupi hakuumbwa haraka haraka na anaishi mwenyewe.
Wakuuu wajadii,wazee wamilaa ,vijana wenzangu,waheshimiwa viongozi kiukwelii sio kwamba lile pepo linarudi hapana nimoyo umemuanhukia tuu bt sjawah hata kuongea naee ila nmejikuta nataka nipige yamwisho mwisho kabisa.
Naombeni tuu msaada nifanyaje ili niweze kumpata sababu nimekaa ndani kwangu namsikia anaongea nasimu na rafiki zakee ila Mimi sipati usingizi 😭😭nimefikiria nikamgongee nimuombe chaji ila majirani wengine wataniskia naombeni mbinuuu wandugu nipige yamwisho mwisho ,
Wazee wakamati juu,benchi la ufundi ,wakongwe wa zamani,mashujaa wa vita vya Uganda,Mashehe na Wachungaji nawategemeaa mainiangushe kijana nmeshindwa kulala nisaidieni mbinuu nanyie mtabarikiwa mtaepushwa na UTI sugu ,uzao wenu utakua na baraka 🙏🙏
Swali la msingi sana hili.Hao wengine ulikuwa unawapataje?
Walikua wananionea huruma tuuHao wengine ulikuwa unawapataje?
Naona unatamani kulipa kodi ya nyumba mbili.Habari Wana JF