nina kamba mguuni..

nina kamba mguuni..

annito

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
888
Reaction score
461
hodiii jf, naombeni kuwa mwenyeji nimechoka kuwa mgeni
 
Mbona kama jina lako si geni...

Anyway karibu sana JF...

ni kweli si gen ila sikuwah kujitambulisha, kuna mada uliitoa nilishindwa kuvumilia ikabid nijisajil ili niishiriki..
asante, mkuu
big up kwa busara zako, ila una maswal hadi unayaleta kwa mgen!!!traaa
 
Hahahah...kupitia maswali ndio wapata kujua ufahamu wa mtu ili kumsaidia.

ni kweli si gen ila sikuwah kujitambulisha, kuna mada uliitoa nilishindwa kuvumilia ikabid nijisajil ili niishiriki..
asante, mkuu
big up kwa busara zako, ila una maswal hadi unayaleta kwa mgen!!!traaa
 
Back
Top Bottom