Sn2139 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2010 Posts 834 Reaction score 251 Apr 9, 2010 #1 Wana JF mimi ni kuku mwenye kamba mguuni, je huku mnatoboa jicho?
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,852 Apr 9, 2010 #2 Sn2139 said: Wana JF mimi ni kuku mwenye kamba mguuni, je huku mnatoboa jicho? Click to expand... huku kwenye jukwaa la siasa?
Sn2139 said: Wana JF mimi ni kuku mwenye kamba mguuni, je huku mnatoboa jicho? Click to expand... huku kwenye jukwaa la siasa?
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,401 Apr 9, 2010 #3 Preta said: huku kwenye jukwaa la siasa? Click to expand... Preta huyu kweli mgeni kakosa mlango upi wa kuanzia mpe mwongozo
Preta said: huku kwenye jukwaa la siasa? Click to expand... Preta huyu kweli mgeni kakosa mlango upi wa kuanzia mpe mwongozo
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,852 Apr 9, 2010 #4 FirstLady1 said: Preta huyu kweli mgeni kakosa mlango upi wa kuanzia mpe mwongozo Click to expand... kweli nimeona....ila tumkaribishe hivyo hivyo akishazoea atahamishia thread kunakohusika....karibu kuku mwaya
FirstLady1 said: Preta huyu kweli mgeni kakosa mlango upi wa kuanzia mpe mwongozo Click to expand... kweli nimeona....ila tumkaribishe hivyo hivyo akishazoea atahamishia thread kunakohusika....karibu kuku mwaya
PakaJimmy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 16,199 Reaction score 8,761 Apr 9, 2010 #5 Wewweeeeee mgeni..mbona umeingilia nyuma?...Plz soma vizuri majukwaa yaliopo, then utapaona pahala sahihi! Lakini karibu!...Hapa ni siasa tu bana!
Wewweeeeee mgeni..mbona umeingilia nyuma?...Plz soma vizuri majukwaa yaliopo, then utapaona pahala sahihi! Lakini karibu!...Hapa ni siasa tu bana!
bht JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 10,336 Reaction score 1,873 Apr 9, 2010 #6 hahaaa @PakaJimmy amejiingilia nyuma? karibu mwaya kupotea ndo ugeni wenyewe...
Sn2139 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2010 Posts 834 Reaction score 251 Apr 12, 2010 Thread starter #7 Nashukuru .. nimekaribia, samahani kwa kukosea mlango na hiyo ndio dalili ya kuku mgeni. Salaam alleikum
Nashukuru .. nimekaribia, samahani kwa kukosea mlango na hiyo ndio dalili ya kuku mgeni. Salaam alleikum