Nina kampuni ya Clearing and Forwarding nahitaji mdau wa kufanya naye kazi

Huyu mtoa mada si dhani kama kafika hata darasa la pili[emoji4][emoji4] anyway umekaa kitapeli tapeli[emoji1732]
 
Msimkatishe tamaa.
kunawengine kweli hawaja soma ila wana uthubutu kuliko msomi, na ndiyo matajiri wakubwa.
Kujua kuandika kwa ufundi siyo ndiyo kujua .
Kuna wasomi wangapi kila siku tunawaona wana lalamika kukosa ajira tafsiri yake wanekosa ubunifu.
Nisemetu, kujua kuandika vizuri siyo ndiyo kuelewa au kuwa ndiyo mwenyewe uthubutu.
Nimshauri mtoa mada usiogope kukosolewa ndiyo kujifunza kwenyewe kikubwa kujua lengo ulilo kusudia
 
Hapana ndg, kinacho hitajika hapa ni mbia wa kufanya kazi pamoja.
Mbia hutakaa upate. Ukitaka tangaza kuuza. Na makampuni yalivyozagaa sasa hivi. Haya
 
Unahitaji kitu gani hasa kijana? Hebu funguka zaidi, unahitaji PESA, MAWAZO/MBINU ZA KIBIASHARA, au nini hasa? Usiweke kona kona utaharibu bandiko lako bure. Sawa sawa?
 
Tanzania kuna wasomi wengi si ajabu nikisema asilimia tisini, tatizo ni wataalamu ndio asilimia moja tu wakiongezeka sana hadi 2030 watafikia 5%.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…