kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Acha niseme hiiii kuna watu watavunwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
“Sio Nawe”
'Ni Nawewe'
Nawe ni lahaja [emoji23] [emoji23]Nawe is the right word. Ni kifupi cha neno 'Na wewe'.....lahaja tu.
Mbia hutakaa upate. Ukitaka tangaza kuuza. Na makampuni yalivyozagaa sasa hivi. HayaHapana ndg, kinacho hitajika hapa ni mbia wa kufanya kazi pamoja.
Eleza vizuri kama unahitaji wafanyakazi au ni namna gani ya ushirikiano unatafuta boss
Tanzania kuna wasomi wengi si ajabu nikisema asilimia tisini, tatizo ni wataalamu ndio asilimia moja tu wakiongezeka sana hadi 2030 watafikia 5%.Msimkatishe tamaa.
kunawengine kweli hawaja soma ila wana uthubutu kuliko msomi, na ndiyo matajiri wakubwa.
Kujua kuandika kwa ufundi siyo ndiyo kujua .
Kuna wasomi wangapi kila siku tunawaona wana lalamika kukosa ajira tafsiri yake wanekosa ubunifu.
Nisemetu, kujua kuandika vizuri siyo ndiyo kuelewa au kuwa ndiyo mwenyewe uthubutu.
Nimshauri mtoa mada usiogope kukosolewa ndiyo kujifunza kwenyewe kikubwa kujua lengo ulilo kusudia