Nina kampuni ya uuzaji wa avokado na korosho nje ya nchi .

Nina kampuni ya uuzaji wa avokado na korosho nje ya nchi .

Kamuni yangu ni mpya je nawezaje kupata tenda na kupata wateja nje kama vile india na nk. Msaada kwa mwenye uzoefu anishauri
Kuna umuimu mkubwa sana kwenda kule na kutafuta masoko, wakuone physically. Pia ukikua kimtaji fungua ofisi kila sehem unayotaka kufanya kazi. Kama agent au wakala.
Na Ikiwezekana fanya partnership na waindi au wamarekani.
 
Kenya wanatoa sana nje hizo Avocados na SA pia ni wanunuzi wa Avocados ila upate kibali toka SA cha kuingiza.
 
Ni muongo huyu tumpuuze,tayari anasema ana kampuni halafu anaulizia kienyeji hivi kupata soko la nje?
 
Angeshiriki kwenye maonyesho ya biashara makubwa mojawapo ya nchi anayotaka kufanya nao biashara mfano China au kutafuta masoko.
 
Kamuni yangu ni mpya je nawezaje kupata tenda na kupata wateja nje kama vile india na nk. Msaada kwa mwenye uzoefu anishauri
Naomba niseme kidogo
Nina uzoefu mdogo nataka ku share, kuna boss wangu yupo Dubai , anaishi huko takriban 30yrs sasa.

Kila siku anaitumia bei za bishaa sokoni , aisee bidhaa zinauzwa ghali sana kule.

Jana tu, kuna kipate kama kile cha 500 huku Tanzania, wao kimewekwa ktk kopo ndogo la 600gm kinauzwa dirh 10, sawa tsh 7000 .

SHIDA IPO WAPI?
tumeshajaribu kupeleka , avocado, embe, miwa, almost matunda zaidi aina 5
TATIZO KUBWA TANZANIA NI MAWILI 2
1. packages
2. Aina ya tunda husika

Mfano avocado ina aina nyingi sana, kuna moja kama ina vipele hio sokoni ni mali,
Ili uweze ku win
Hakikisha unachuma kwa kukata kitawi pale mbale, angalia package wanazofanya wengine

Takuonesha sample .
Zikifika hazijaharibika na ukafata ayo niliokwambia Ume win

PROBLEM NYINGINE TANZANIA HATUNA BIDHAA ZA KUTOSHA
nina mnunuzi mpaka sana , alinambia anataka vanila tani 6 kila wiki

Aisee wakulima karibu mikoa mikubwa kama kagera wanakwambia wanalima kias kidogo, asa unakuta mtu analupa mkataba wa 3 yrs, bidhaa unatoa wapi
1. Tangazania hatuna products ya kutosha
2. Hatujui kufanya package
Wakenya wana very good package, na nakuhakikishia wakenya wanakuja kuchukua bidhaa Tanzania wanaenda kuuza nje.
Sisi tunashindwa
Nitafute *255 620304289
Avacado-Box-Alt.jpg
 
Ni muongo huyu tumpuuze,tayari anasema ana kampuni halafu anaulizia kienyeji hivi kupata soko la nje?
Mimi ndo naanza ,kupata masoko lazima kuna vigezo utimize mimi nimetimiza vyote ndo mana nimefungua hiyo kampuni na kosa labda mimi sio mwanfishi mzuri nisame kama sikueleweka tembelea ktk website yangu www.mafupatz.com
 
Kuna umuimu mkubwa sana kwenda kule na kutafuta masoko, wakuone physically. Pia ukikua kimtaji fungua ofisi kila sehem unayotaka kufanya kazi. Kama agent au wakala.
Na Ikiwezekana fanya partnership na waindi au wamarekani.
Asante sana kwa wazo zuri sana natumaini nitafanikiwa na kikubwa tuinuane tu sisi vijana tusikatishane tamaa
 
Back
Top Bottom