Kamuni yangu ni mpya je nawezaje kupata tenda na kupata wateja nje kama vile india na nk. Msaada kwa mwenye uzoefu anishauri
Naomba niseme kidogo
Nina uzoefu mdogo nataka ku share, kuna boss wangu yupo Dubai , anaishi huko takriban 30yrs sasa.
Kila siku anaitumia bei za bishaa sokoni , aisee bidhaa zinauzwa ghali sana kule.
Jana tu, kuna kipate kama kile cha 500 huku Tanzania, wao kimewekwa ktk kopo ndogo la 600gm kinauzwa dirh 10, sawa tsh 7000 .
SHIDA IPO WAPI?
tumeshajaribu kupeleka , avocado, embe, miwa, almost matunda zaidi aina 5
TATIZO KUBWA TANZANIA NI MAWILI 2
1. packages
2. Aina ya tunda husika
Mfano avocado ina aina nyingi sana, kuna moja kama ina vipele hio sokoni ni mali,
Ili uweze ku win
Hakikisha unachuma kwa kukata kitawi pale mbale, angalia package wanazofanya wengine
Takuonesha sample .
Zikifika hazijaharibika na ukafata ayo niliokwambia Ume win
PROBLEM NYINGINE TANZANIA HATUNA BIDHAA ZA KUTOSHA
nina mnunuzi mpaka sana , alinambia anataka vanila tani 6 kila wiki
Aisee wakulima karibu mikoa mikubwa kama kagera wanakwambia wanalima kias kidogo, asa unakuta mtu analupa mkataba wa 3 yrs, bidhaa unatoa wapi
1. Tangazania hatuna products ya kutosha
2. Hatujui kufanya package
Wakenya wana very good package, na nakuhakikishia wakenya wanakuja kuchukua bidhaa Tanzania wanaenda kuuza nje.
Sisi tunashindwa
Nitafute *255 620304289