Nina kereka na mume wa x wangu amemtelekeza mke, ananisumbua

mager6

Senior Member
Joined
Jul 5, 2025
Posts
182
Reaction score
286
Huyu shory nilikuwa namkubali na nilimpa mapenzi motomoto na outing za hapa na pale, kwa Sasa jamaa aliyemuoa hamtulizi, amemzalisha watoto wanne.

Jamaa anafanya ofisi flan serikalin na mamaaa anafanya kazi serikalini ofisi za umbali wa masaa matano.

Mke analalamikia mshkaji, amemwambia asomeshe watoto wawili na yeye wawili
 
Sasa hili lina ubaya gani?
Tatizo la baadhi ya wanawake ni kuzaa watoto kwaajili ya mwanaume na sio kuzaa kwaajili yake binafsi.
 
Ni mambo yao ya kifamilia, wewe hayakuhusu, shukuru hukumuoa, achana na wake za watu. Focus na maisha yako
 
Angalieni rika la mtoa mada kwa tathmini hii..
Yeye alikua na huyo anaemuita shory, baadae akawa x, baadae "shory" akaolewa, amezaa watoto wanne, wote wapo umri wa shule..

Mtoa mada atakua wa rika gani? Rika hilo na uandishi huu vinaoana? Otherwise tukubali kusukuma muda tuu. Maana naona wengine mnajibu serious utadhani ni vitu halisi
 
Huyu shory nilikuwa namkubali na nilimpa mapenzi motomoto na outing za hapa na pale, kwa Sasa jamaa aliyemuoa hamtulizi, amemzalisha watoto wanne.

Jamaa anafanya ofisi flan serikalin na mamaaa anafanya kazi serikalini ofisi za umbali wa masaa matano.

Mke analalamikia mshkaji, amemwambia asomeshe watoto wawili na yeye wawili
Usimuamini sana!
 
wewe hata mmoja ungeweza kumsomesha
 
Huyu shory nilikuwa namkubali na nilimpa mapenzi motomoto na outing za hapa na pale, kwa Sasa jamaa aliyemuoa hamtulizi, amemzalisha watoto wanne.

Jamaa anafanya ofisi flan serikalin na mamaaa anafanya kazi serikalini ofisi za umbali wa masaa matano.

Mke analalamikia mshkaji, amemwambia asomeshe watoto wawili na yeye wawili
Kama ni masuala yanayokuhusu mtafute mume wake mkiwa private umkanye.
 
Hata hivyo nilisahau hizi kanuni
1000109191.png

Namba 10
Sasa nimekumbuka
 
Back
Top Bottom