Sasa hili lina ubaya gani?Mke analalamikia mshkaji, amemwambia asomeshe watoto wawili na yeye wawili
Usimuamini sana!Huyu shory nilikuwa namkubali na nilimpa mapenzi motomoto na outing za hapa na pale, kwa Sasa jamaa aliyemuoa hamtulizi, amemzalisha watoto wanne.
Jamaa anafanya ofisi flan serikalin na mamaaa anafanya kazi serikalini ofisi za umbali wa masaa matano.
Mke analalamikia mshkaji, amemwambia asomeshe watoto wawili na yeye wawili
ukimaliza maelezo ya uzi ndio unaenda kwenye title uzi umekamilika? ha ha ha haKwahiyo unataka sisi tufanyeje?
wewe hata mmoja ungeweza kumsomeshaHuyu shory nilikuwa namkubali na nilimpa mapenzi motomoto na outing za hapa na pale, kwa Sasa jamaa aliyemuoa hamtulizi, amemzalisha watoto wanne.
Jamaa anafanya ofisi flan serikalin na mamaaa anafanya kazi serikalini ofisi za umbali wa masaa matano.
Mke analalamikia mshkaji, amemwambia asomeshe watoto wawili na yeye wawili
Kama ni masuala yanayokuhusu mtafute mume wake mkiwa private umkanye.Huyu shory nilikuwa namkubali na nilimpa mapenzi motomoto na outing za hapa na pale, kwa Sasa jamaa aliyemuoa hamtulizi, amemzalisha watoto wanne.
Jamaa anafanya ofisi flan serikalin na mamaaa anafanya kazi serikalini ofisi za umbali wa masaa matano.
Mke analalamikia mshkaji, amemwambia asomeshe watoto wawili na yeye wawili
Ilimradi tu mtu aanzishe uzi yaani🙆♂️ukimaliza maelezo ya uzi ndio unaenda kwenye title uzi umekamilika? ha ha ha ha
Umeongea mwanaume unaejiamini, na bila kelele hongera mkuuUsimuamini sana!