Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kumkatisha tamaa,msingi huo utachukua zaidi ya tofali 500? Watu kama nyie hamfai kwenye jamii maana mnadhani kujenga ni mpaka mshike mamilioniMkuu hiyo unajenga msingi tu
Mkuu sikukatishi tamaa lakini humalizi,labda usiweke tiles na choo cha kukaa uweke cha kuchuchumaa
tofali 400.. bei laki 4.. fundi hadi rinta 300,000, cement mifuko 10 bei 120,000, mchanga lori dogo bei 120,000, maji lita 1000 bei 15,000.. kokoto debe lori dogo bei 150,000 , unaweza fika mbali mkuu.
jaribu kuanza ujenzi
kwenye magoti.. utakuwa umepiga hatuaNina Kiasi cha Milioni 1.6 je nikianza kujenga room self naishia wapi?kiwanja nacho